Shirika la FLORESTA Tanzania linakualika kwenye uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti Wilaya ya Rombo. Tarehe:
16/04/2023: Shule ya Msingi Kastamu
17/04/2024: Shule ya Msingi Keni Mengeni
Miti 3000 Itaoteshwa.
Karibu tushiriki kuiponya ardhi na watu wake!