Events

KAMPENI KABAMBE YA UPANDAJI MITI APRIL 2024

Start date: April 15, 2024
End date: April 19, 2024
All-day event
Floresta Content Calendar_TreePlanting-07

Shirika la FLORESTA Tanzania linakualika kwenye kampeni ya upandaji miti Mkoani Kilimanjaro. Miti 265,594 Itaoteshwa Wilaya za Siha, Hai, Mwanga, Same, Rombo na Moshi; kupitia vikundi vinavyo simamiwa na Shirika la FLORESTA Tanzania. Kampeni hii itaaza tarehe 15/04/2024 mpaka tarehe 19/04/2024

       Karibu tushiriki kuiponya ardhi na watu wake!

UZINDUZI WA KAMPENI KABAMBE YA UPANDAJI MITI WILAYA YA SAME APRIL 2024

Start date: April 15, 2024
End date: April 18, 2024
All-day event
Floresta Content Calendar_TreePlanting-06

Shirika la FLORESTA Tanzania linakualika kwenye uzinduzi wa kampeni kabambe ya upandaji miti Wilaya ya Same, Tarehe:

15/04/2024: Tae Sekondari

16/04/2023: Zahanati ya Kirungaya

18/04/2024: Barabara ya Kadando

Miti 6500 Itaoteshwa.

Karibu tushiriki kuiponya ardhi na watu wake!

UZINDUZI WA KAMPENI KABAMBE YA UPANDAJI MITI WILAYA YA ROMBO APRIL 2024

Start date: April 16, 2024
End date: April 17, 2024
Time: 12:00 am - 12:00 am
Floresta Content Calendar_TreePlanting-02

Shirika la FLORESTA Tanzania linakualika kwenye uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti Wilaya ya Rombo. Tarehe:

16/04/2023: Shule ya Msingi Kastamu

17/04/2024:  Shule ya Msingi Keni Mengeni

Miti 3000 Itaoteshwa.

 Karibu tushiriki kuiponya ardhi na watu wake!

UZINDUZI WA KAMPENI KABAMBE YA UPANDAJI MITI WILAYA YA HAI APRIL 2024

Date: April 18, 2024
All-day event
Floresta Content Calendar_TreePlanting-01

Shirika la FLORESTA Tanzania linakualika kwenye uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti Wilaya ya Hai. Tarehe 18/04/2023. Miti 1,500 Itaoteshwa Barabara ya Kware – Sadala

    Karibu tushiriki kuiponya ardhi na watu wake!

Hi, How Can We Help You?