Shirika la FLORESTA Tanzania linakualika kwenye uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti Wilaya ya Mwanga Tarehe 16/04/2023. Miti 1,200 Itaoteshwa Parokia ya Kilomeni
Karibu tushiriki kuiponya ardhi na watu wake!