Start date: April 15, 2024
End date: April 19, 2024
All-day event

Shirika la FLORESTA Tanzania linakualika kwenye kampeni ya upandaji miti Mkoani Kilimanjaro. Miti 265,594 Itaoteshwa Wilaya za Siha, Hai, Mwanga, Same, Rombo na Moshi; kupitia vikundi vinavyo simamiwa na Shirika la FLORESTA Tanzania. Kampeni hii itaaza tarehe 15/04/2024 mpaka tarehe 19/04/2024

       Karibu tushiriki kuiponya ardhi na watu wake!

Hi, How Can We Help You?