Date: June 5, 2024
All-day event

Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani tarehe 05/06/2024, Shirika la Floresta kupitia vikundi inavyovisimamia litasherehekea kwa kuotesha miti 9700 Mkoani Kilimanjaro. Miti itaoteshwa kwenye maeneo ya wazi, kando za barabara, na kwenye vyanzo vya maji.

Karibu ujumuike nasi kuiponya ardhi na watu wake!

Hi, How Can We Help You?